Nyumbani kwa wokovu, upendo na nguvu ya Roho Mtakatifu
Mchungaji Kiongozi
Aliyeitwa na Mungu kuongoza kanisa kwa hekima na neno la msalaba.
Mchungaji Mwenza
Mchungaji mwenye upendo na huruma, anayejitoa kwa wanawake na familia.
Tunayoitwa Pentekoste Kanisa la Mungu Tanzania, tawi la Gosheni Mahali Salama, Darajani Kigamboni.
Kanisa letu linaanzishwa kwa msingi wa neno la msalaba ambalo ni nguvu ya Mungu kwa wote wanaoamini. Tunasadiki kuwa Yesu Kristo ndiye Bwana na Mwokozi, na tunatazamia kueneza injili ya wokovu kwa kila mtu katika jamii yetu.
mchungaji kiongozi wa kanisa letu la pentecostal church of god in Tanzania
mchungaji mwenza wa kanisa letu la pentecostal church of god in Tanzania
wazee wa kanisa letu la pentecostal church of god in Tanzania.
kwaya yetu ya kanisa la pentecostal church of god in Tanzania.
kwaya ya watoto kanisa la pentecostal church of god in Tanzania.
Mwimbaji wa nyimbo za injili
karibu tujenge mwili wa kristo pamoja pcgt gosheni mahali salama
karibu tujenge mwili wa kristo pamoja pcgt gosheni mahali salama
karibu tujenge mwili wa kristo pamoja pcgt gosheni mahali salama
karibu sana na Mungu wa mbinguni atakubariki sana!!!
karibu sana na Mungu wa mbinguni atakubariki sana!!!
mhubiri akihubiri injili ya yesu kristo
yesu alidhihirishwa ili azivunje kazi za ibilisi, 1yohana3:8b
Mungu yupo nasi mpaka ukamilifu wa dahari
hakika mungu alituonekania kwa viwango vikubwa mno
karibu sana na Mungu wa mbinguni atakubariki sana!!!
hata sasa ni Mungu ametusaidia
hakika mungu ni mwema kwenye huduma hii

Kuwa kanisa la msingi wa neno la msalaba linaloleta mabadiliko, uponyaji na wokovu kwa familia zote za Tanzania na kwingineko, tukiongozwa na Roho Mtakatifu.
Kuhubiri injili ya msalaba, kufundisha neno la Mungu kwa ukamilifu, kuwawezesha waumini kwa karama za Roho, na kutumikia jamii kwa upendo na huruma.
Biblia ni neno lenye uhai na mamlaka kamili juu ya maisha yetu.
Tunaamini nguvu ya maombi na kuomba bila kukoma.
Upendo ndio alama ya kweli ya kuwa wanafunzi wa Kristo.
Kuwasaidia wenye uhitaji kama ishara ya upendo wa Mungu.
Tunaamini katika utendaji wa karama za Roho Mtakatifu leo.
Kuwa pamoja kama familia moja ya Mungu.